Searching...
Image and video hosting by TinyPic
19 December 2013
Thursday, December 19, 2013

NIONAVYO MIMI:SINA HAKIKA NA MIKONO YA EMMANUEL OKWI!


  Na Oscar Oscar Jr

Wakati tetesi ziliposambaa kwamba RVP kauzwa na atavaa jezi ya united,fans wa Gunners roho zilitaka kuwapasuka na hawakuamini.siku ilipofika,aliwatia kitasa na kuinua mikono juu! Nouma sana!

Wakati mashabiki wa united waliposikia CR7 anakwenda Real Madrid,walidhani kwamba ni uzushi.Msimu uliopita ndo waliamini pale alipowatia Vitasa na kuwapo
za kwa kuinua mikono juu! Nouma sana!

Wakati Mario Gotze anaondoka Sigunal Iduna Park,fans wa BVB walidhani masihara.juzi ametua na jezi ya the Bavarians na kuwatia kitasa then akawaheshimu kwa kutoshangilia.Nouma sana!

Gunners wakisikia Cesc Fabregas anawindwa na United,roho zinawauma.wanasahau sio mchezaji wao ni mali ya Barca.

Anyway,nasubiri kuja kuona reaction ya Okwi siku atakapoifunga simba,mchezaji ambaye alipendwa sana na fans wa msimbazi.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!