Searching...
Image and video hosting by TinyPic
19 December 2013
Thursday, December 19, 2013

NIONAVYO MIMI:HATIMAYE ARSENAL NA MAN CITY WALAMBA MAJOKER!

Na Oscar Oscar Jr

Huwezi kuwa bingwa bila kumfunga bingwa,pengine hii draw imekuja muda ambao sio muafaka kwa Gunners.Bado wanakizunguzungu na imani imeanza kuondoka.



January wenger anaweza kumleta striker aina ya Suarez na mkamvaa Bayern Munich bila wasiwasi.Man city nao wamelamba Jocker,Barcelona fc.kwa mchezaji mmoja mmoja utaona kama wanalingana nguvu but team work na historia, vinambeba zaidi Barcelona.

Chelsea na Drogba,hapa patamu sana.Nguvu ya Galatasaray kumng'oa Arturo Vidal na Tevez itakuja kumkabili Mourinho.Chelsea wako vizuri but nadhani hii draw itafanya Radamel Falcao atue fasta!

United vs olympiakosi,hapa ndipo anaponishangaza moyes! UCL nilidhani ndo ingemsumbua,na EPL akafanya poa,yeye ni viceversa.United ndo pekee kwa timu za EPL ambao wakipita haitokuwa muujiza.

I'm sorry!

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!