Searching...
Image and video hosting by TinyPic
16 November 2013
Saturday, November 16, 2013

SEPP BLATTER HAPA NDIPO ANAPONICHANGANYA!

NIONAVYO MIMI KWA MESSI NA CR7
Na Oscar Oscar Jr
0789-784858
0769-282918

Hawa jamaa wanaongoza soka la Dunia kwa sasa,CR7 akifunga Hat-Trick leo,kesho yake Messi naye anafunga.CR7 akipiga faulo ya hatari,weekend ijayo Messi atafanya kama ilele.sasa Mbona Ballon D'or inaenda upande mmoja tu??

Msimu huu CR7 akichukuwa kiatu cha La Liga kwa ufungaji bora,Messi atachukuwa cha UCL! Ukisikia CR7 kafunga Hat-Trick akiwa na ureno wala usiwe na wasiwasi,siku si nyingi utasikia Messi kapiga Hatrick akiwa na Argentine.Sasa mbona Ballon D'or inaenda upande mmoja tu?



Msimu huu mmoja anakuwa mfungaji bora na mwingine anakuwa bingwa wa La Liga,bingwa wa La Liga anapewa Ballon D'or.Msimu ujao,ikiwa kinyume chake bado Ballon inabaki pale pale!!

I'm sorry.

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!