Searching...
Image and video hosting by TinyPic
16 November 2013
Saturday, November 16, 2013

RONALDINHO GAUCHO NI HABARI NYINGINE!!

NIONAVYO MIMI KWA RONADINHO,SITAKI KUIDANGANYA NAFSI YANGU.
Na Oscar Oscar Jr 
0789-784858
0769-282918

Nimebahatika kumuona Zidane akiwa kwenye ubora wake,Thierry Henry,Didier Drogba,Raul,Toti,Klose n.k lakini nafsi yangu bado imekoshwa zaidi na RONALDINHO GAUCHO!

Zama hizi zinatawaliwa na CR7 na MESSI,wanafanya madoido mengi sana lakini bado hawajafanikiwa kuifuta picha ya GAUCHO kwenye Ubongo wangu.

Gaucho acha aitwe Gaucho,anakupiga tobo huku anacheka,Anakuvisha kanzu huku anacheka.Timu ikipata ubingwa wa Dunia yeye anacheka,ikitolewa Robo fainal bado anacheka!

Haya magoli tunayobishana siku hizi,yeye alishayafunga kitambo,chenga ndo usiseme,free kicks ndo baba lao.I'm sorry,GAUCHO baba lao!

Messi,CR7,Ribery chukueni Ballon D'or hata 10 kila mtu still GAUCHO amewafunika wote kwenye Ubongo wangu!

Kabla kina walcott hawajaja na sura zao za mahaba,Gaucho alishawateka wanawake kitambo! Du! Huyu jamaa ni kila kona katimia.

I'm sorry

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!