Searching...
Image and video hosting by TinyPic
19 September 2013
Thursday, September 19, 2013

STARS INAHITAJI KIKAO NA ENGLAND,SOUTH AFRICA.

By Oscar Oscar Jr

Uingereza pamoja na ukubwa wao,umaarufu wao,ubora wa EPL lakini ukiwapeleka EURO au Kombe la Dunia ni vichapo tu!! Kuna kipindi ilibaki kidogo tu,wangesema ukitoa MESSI na CR7,WILSHERE ndo anafuata!!

South Africa nao ndo wale wale,wanapumulia mitambo.SA ya kuanzi kwa kina Mark Fish na Siyabonga Nomvete hadi hapa kwa kina Parker na Tshabalala utagundua kwamba,hawana lolote.

TAIFA STARS inahitaji zaidi ya kuwa na ligi bora,viwanja vizuri na vifaa pia.Wakati namuona SAID BAHANUZI kwa mara ya kwanza akiwa na YANGA,nilidhani jamaa anatoka Afrika Magharibi!!

Baada ya camera kumuandama,sasa ameamua kutafuta kwanza liboni za kuvaa mkononi,mpira atacheza baadae!!!

Tunahitaji kikao na Uingereza na Afrika kusini watueleza kwa nini hawafanikiwi wakati sisi tunadhani,tukiwa kama wao tutashinda kombe la Dunia.

I'm sorry!

0 comments:

Post a Comment

 
Back to top!